SABABU YA MUNGU KUKUOKOA
Somo: sababu ya Mungu kukuokoa
Mh: Michael
.Mbeya
UTANGULIZI
Maandiko ya somo
Kutoka 1:8-10
.8.Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
9.Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi.
10.Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
Ni somo zuri sana hili ambalo litakusaidia ufike Mbinguni na ufurahie wokovu na uuchukie wokovu
Je unajua shetani hana mamlaka ya kugusa ata nguo yako au kitu chako chochote !!!?
Watu wengi tumekuwa tukiishia maisha ya kuteswa . umaskini huku tunamamlaka makubwa
Mungu hakukuokoa ili uteseke ila alitaka tufarahie mala mia dunia na hatimaye uzima wa milele
. Unafahamu maana mstari huu
Katika kutoka 1.10
Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
Haya na tuwatendee kwa akil wasije wakawa matajiri
__ wasije wakamiliki maghali
__ wasije wakamiliki nyumba nzuri waishie nyumba za kupanga
Yote ni maneno ambayo sheteni na malaika wake wamekuwa wakitumia kutesa watumishi wa Mungu
Akili yenyewe anayotumia apa ni
1. Kumtenga mtu na mungu
2. Shetani anafahamu kuwa tunapokuwa na Mungu tunanguvu zaidi yake
Ebu jaribu kutafakari ni mara ngapi unapoteswa na shetani huwa unakuwa na Mahusiano gani na Mungu .
Kwaiyo mpendwa katika bwana kaa
Na Mungu katika maisha yako ili shetani asipate nafasi ya kukushtaki
Ili usipate baraka zako kutoka kwa Bwana
Somo ni lefu sana kipengele kijacho totaangalia hizo sababu
Ubarikiwe na Mungu kwa kusoma Neno lake TAKATIFU
Amina
Comments
Post a Comment