Posts

Showing posts from March, 2023

SABABU YA MUNGU KUKUOKOA

       Somo: sababu ya Mungu kukuokoa Mh: Michael           .Mbeya                  UTANGULIZI    Maandiko ya somo     Kutoka  1:8-10  .8.Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.  9.Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10.Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.           Ni somo zuri sana hili ambalo litakusaidia ufike Mbinguni na ufurahie wokovu na uuchukie wokovu                 Je unajua shetani hana mamlaka ya kugusa ata nguo yako au kitu chako chochote !!!?    Watu wengi tumekuwa tukiishia maisha ya kuteswa . umaskini huku  tunamamlaka makubwa    ...