TUMEOKOLEWA KUTOKANA NA NINI?
Dr Bukuku J pili asubuhi EAGT Mbeya nzovwe 12 Aug 2023 Maandiko ya somo 1.Tumeokolewa KUTOKANA na Ghadhabu ya Mungu Warumi 1:18 warumi 5:9 rumi 5:9-11 1 thesalonike 1:9-10 2.Tumeokolewa kutokana na kuzimu luka 16:19-24 ufunuo 20:11-15 yohana 3:16 3 Tumeokolewa kutokana na nguvu za giza za ibilisi korosai 1:13 korosai 2.13-15 ebrania 2:14-15 4.Ametuokoa na Utumwa wa dhambi mathayo 1:21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao. warumi 6:22-24 MUNGU AWABARIKI